Heba Kotb

Heba Kotb (kwa Kiarabu: هبة قطب; hujulikana sana na Wamisri kama Dr. Ruth[1][2][3][4]; alizaliwa Septemba 19, 1967)[5] ni mtaalamu wa masuala ya kijinsia (ngono) kutokea Misri pia ni mtangazaji wa kipindi cha ushauri wa masuala ya ngono kinachoitwa The Big Talk kinachorushwa nchini Misri.

Mtaalam wa kwanza wa masuala ya ngono Misri, Kotb amejikita sana na mafundisho kutoka kwenye Kurani ambayo anasema inahimiza uhusiano mzuri wa kimapenzi kati ya mume na mke.[6]

  1. "Egypt's 'Dr. Ruth': Let's talk sex in the Arab world - CNN.com". www.cnn.com. Iliwekwa mnamo 2022-03-07.
  2. https://www.google.com/books/edition/Women_Waging_War_and_Peace/pQ4yvghdVOkC?hl=en&gbpv=1&dq=%22Heba+Kotb%22&pg=PA245&printsec=frontcover
  3. https://www.google.com/books/edition/Evolution_of_Faith_and_Religion/pb5pgfQg7kcC?hl=en&gbpv=1&dq=%22Heba+Kotb%22&pg=PA328&printsec=frontcover
  4. https://www.google.com/books/edition/Women_Waging_War_and_Peace/pQ4yvghdVOkC?hl=en&gbpv=1&dq=%22Heba+Kotb%22&pg=PA245&printsec=frontcover
  5. https://web.archive.org/web/20071017055922/http://hebakotb.net/resume.htm%7Cwork=web.archive.org
  6. http://www.salon.com/mwt/feature/2007/06/06/kotb/

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search